Isaya 51:20 BHN

20 Watoto wako wamezirai,wamelala pembeni mwa kila barabara,wako kama paa aliyenaswa wavuni.Wamepatwa na ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu,wamepatwa na adhabu ya Mungu wako.

Kusoma sura kamili Isaya 51

Mtazamo Isaya 51:20 katika mazingira