22 Bwana, Mwenyezi-Mungu, Mungu wako,awateteaye watu wake, asema hivi:“Nimekuondolea kikombe cha kuyumbisha,hutakunywa tena kikombe cha ghadhabu yangu.
Kusoma sura kamili Isaya 51
Mtazamo Isaya 51:22 katika mazingira