23 Nitawanywesha watesi wako kikombe hichowaliokuambia ulale chini wapite juu yako;wakaufanya mgongo wako kama ardhi,kama barabara yao ya kupitia.”
Kusoma sura kamili Isaya 51
Mtazamo Isaya 51:23 katika mazingira