Isaya 52:11 BHN

11 Ondokeni! Ondokeni! Tokeni hapa;msiguse kitu chochote najisi!Ondokeni huku Babuloni!Jitakaseni enyi mbebao vyombo vya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Isaya 52

Mtazamo Isaya 52:11 katika mazingira