Isaya 52:12 BHN

12 Safari hii hamtatoka kwa haraka,wala hamtaondoka mbiombio!Maana Mwenyezi-Mungu atawatangulieni,Mungu wa Israeli atawalinda kutoka nyuma.

Kusoma sura kamili Isaya 52

Mtazamo Isaya 52:12 katika mazingira