5 Lakini alijeruhiwa kwa sababu ya dhambi zetu,aliumizwa kwa sababu ya maovu yetu.Kwa kuadhibiwa kwake sisi tumepata uhai;kwa kupigwa kwake sisi tumepona.
Kusoma sura kamili Isaya 53
Mtazamo Isaya 53:5 katika mazingira