Isaya 54:11 BHN

11 “Ewe Yerusalemu uliyeteseka,uliyetaabishwa na kukosa wa kukufariji!Nitakujenga upya kwa mawe ya thamani,misingi yako itakuwa ya johari ya rangi ya samawati.

Kusoma sura kamili Isaya 54

Mtazamo Isaya 54:11 katika mazingira