10 Milima yaweza kutoweka,vilima vyaweza kuondolewa,lakini fadhili zangu hazitakuondoka,agano langu la amani halitaondolewa.Mimi Mwenyezi-Mungu nikuhurumiaye nimesema.
Kusoma sura kamili Isaya 54
Mtazamo Isaya 54:10 katika mazingira