Isaya 54:9 BHN

9 “Nitafanya kama nilivyofanya wakati wa Noa:Wakati ule niliapa kwambasitaifunika tena ardhi kwa gharika.Basi sasa naapa kwamba sitakukasirikia tenawala sitakukemea tena.

Kusoma sura kamili Isaya 54

Mtazamo Isaya 54:9 katika mazingira