Isaya 54:16 BHN

16 “Tazama, mimi ndiye niliyemuumba mhunzi,afukutaye moto wa makaa na kufua silaha.Ni mimi pia niliyemuumba mwangamizi anayeangamiza.

Kusoma sura kamili Isaya 54

Mtazamo Isaya 54:16 katika mazingira