17 Silaha zote zilizoundwa kukudhuru wewehazitafaa chochote kile.Mtu akikushtaki mahakamani, utamshinda.Hilo ndilo fungu nililowapangia watumishi wangu.Hizo ndizo haki nilizowathibitishia.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Kusoma sura kamili Isaya 54
Mtazamo Isaya 54:17 katika mazingira