Isaya 55:12 BHN

12 “Mtatoka Babuloni kwa furaha;mtaongozwa mwende kwa amani.Milima na vilima mbele yenu vitapaza sauti na kuimba,na miti yote mashambani itawapigia makofi.

Kusoma sura kamili Isaya 55

Mtazamo Isaya 55:12 katika mazingira