Isaya 55:13 BHN

13 Badala ya michongoma kutamea misonobari,na badala ya mbigili kutamea mihadasi.Hilo litakuwa jambo litakalowakumbusha watujuu ya mambo niliyotenda mimi Mwenyezi-Mungu;ishara ya milele ambayo haitafutwa.”

Kusoma sura kamili Isaya 55

Mtazamo Isaya 55:13 katika mazingira