Isaya 56:10 BHN

10 Maana viongozi wao wote ni vipofu;wote hawana akili yoyote.Wote ni kama mbwa bubu wasiobweka,hulala tu na kuota ndoto,hupenda sana kusinzia!

Kusoma sura kamili Isaya 56

Mtazamo Isaya 56:10 katika mazingira