11 Hao ni kama mbwa wenye uchu sana,wala hawawezi kamwe kutoshelezwa.Wachungaji hao hawana akili yoyote;kila mmoja hutafuta faida yake mwenyewe.
Kusoma sura kamili Isaya 56
Mtazamo Isaya 56:11 katika mazingira