Isaya 56:2 BHN

2 Heri mtu anayezingatia kikamilifu ninayosema,anayeshika sheria ya Sabato kwa heshimana kuepa kutenda uovu wowote.

Kusoma sura kamili Isaya 56

Mtazamo Isaya 56:2 katika mazingira