3 “Mgeni anayenitambua mimi Mwenyezi-Mungu asifikiri:‘Hakika Mwenyezi-Mungu atanitenga na watu wake.’Naye towashi asiseme:‘Mimi ni mti mkavu tu!’
Kusoma sura kamili Isaya 56
Mtazamo Isaya 56:3 katika mazingira