5 nitampa nafasi maalumu na ya sifakatika nyumba yangu na kuta zake;nafasi bora kuliko kuwa na watoto wa kiume na wa kike:Nitampa jina la kukumbukwa daima,na ambalo halitafutwa kamwe.
Kusoma sura kamili Isaya 56
Mtazamo Isaya 56:5 katika mazingira