Isaya 56:6 BHN

6 “Watu wageni watakaonikiri mimi Mwenyezi-Mungu,watakaoniheshimu, wakapenda jina langu na kuwa watumishi wangu,wote watakaoshika Sabato bila kuikufuru,watu watakaozingatia agano langu,

Kusoma sura kamili Isaya 56

Mtazamo Isaya 56:6 katika mazingira