Isaya 57:13 BHN

13 Mtakapolia kuomba msaada,rundo la vinyago vyenu na liwaokoe!Upepo utavipeperushia mbali;naam, pumzi itavitupilia mbali.Lakini watakaokimbilia usalama kwangu,wataimiliki nchi,mlima wangu mtakatifu utakuwa mali yao.”

Kusoma sura kamili Isaya 57

Mtazamo Isaya 57:13 katika mazingira