Isaya 57:14 BHN

14 Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Jengeni! Jengeni! Tayarisheni njia!Ondoeni vikwazo vyote njiani mwa watu wangu!”

Kusoma sura kamili Isaya 57

Mtazamo Isaya 57:14 katika mazingira