Isaya 57:15 BHN

15 Hivi ndivyo asemavyo Mungu aliye juu kabisa,aishiye milele na ambaye jina lake ni “Mtakatifu”:“Mimi nakaa huko juu, mahali patakatifu,nakaa pia na wenye majuto na wanyenyekevu.Mimi nitawatia moyo walio wanyenyekevuna kuwapa nguvu wenye majuto.

Kusoma sura kamili Isaya 57

Mtazamo Isaya 57:15 katika mazingira