Isaya 57:16 BHN

16 Maana sitaendelea kuwalaumuwala kuwakasirikia daima.La sivyo hao niliowaumba watadhoofika mbele yangu,nami ndiye niliyewapa pumzi yangu ya uhai.

Kusoma sura kamili Isaya 57

Mtazamo Isaya 57:16 katika mazingira