Isaya 57:17 BHN

17 Niliwakasirikia kwa sababu ya uovu na tamaa zao;niliwaadhibu, nikauficha uso wangu na kukasirika.Lakini wao waliendelea kufuata njia zao wenyewe.

Kusoma sura kamili Isaya 57

Mtazamo Isaya 57:17 katika mazingira