18 Niliiona mienendo yao, lakini nitawaponya;nitawaongoza na kuwapa faraja,nitawatuliza hao wanaoomboleza.
Kusoma sura kamili Isaya 57
Mtazamo Isaya 57:18 katika mazingira