Isaya 57:4 BHN

4 Je, mnadhani mnamdhihaki nani?Mnamfyonya nani na kumtolea ulimi?Nyinyi wenyewe ni wahalifu tangu mwanzo,nyinyi ni kizazi kidanganyifu.

Kusoma sura kamili Isaya 57

Mtazamo Isaya 57:4 katika mazingira