Isaya 57:5 BHN

5 Nyinyi mnawaka tamaa kwenye miti ya mialoni,na katika kila mti wa majani mabichi.Mnawachinja watoto wenuna kuwatambika katika mabonde na nyufa za majabali.

Kusoma sura kamili Isaya 57

Mtazamo Isaya 57:5 katika mazingira