Isaya 57:6 BHN

6 Mnachagua mawe laini mabondeni,na kuyafanya kitovu cha maisha yenu.Mnayamiminia tambiko ya kinywajina kuyapelekea tambiko ya nafaka!Je, mimi nitaridhishwa kwa vitu hivyo?

Kusoma sura kamili Isaya 57

Mtazamo Isaya 57:6 katika mazingira