11 Mimi Mwenyezi-Mungu nitawaongozeni daima,nitatosheleza mahitaji yenu wakati wa shida.Nitawaimarisha mwilini,nanyi mtakuwa kama bustani iliyomwagiliwa maji,kama chemchemi ya majiambayo maji yake hayakauki kamwe.
Kusoma sura kamili Isaya 58
Mtazamo Isaya 58:11 katika mazingira