12 Magofu yenu ya kale yatajengwa;mtajenga upya juu ya misingi iliyoachwa zamani.Nanyi mtaitwa watu waliotengeneza upya kuta,watu waliozifanya barabara za mji zipitike tena.
Kusoma sura kamili Isaya 58
Mtazamo Isaya 58:12 katika mazingira