Isaya 58:2 BHN

2 Siku hata siku wananijia kuniabudu,wanatamani kujua mwongozo wangu,kana kwamba wao ni taifa litendalo haki,taifa lisilosahau sheria za Mungu wao.Wananitaka niamue kwa haki,na kutamani kukaa karibu na Mungu.

Kusoma sura kamili Isaya 58

Mtazamo Isaya 58:2 katika mazingira