Isaya 58:3 BHN

3 “Nyinyi mnaniuliza:‘Mbona tunafunga lakini wewe huoni?Mbona tunajinyenyekesha, lakini wewe hujali?’“Ukweli ni kwamba wakati mnapofunga,mnatafuta tu furaha yenu wenyewe,na kuwakandamiza wafanyakazi wenu!

Kusoma sura kamili Isaya 58

Mtazamo Isaya 58:3 katika mazingira