Isaya 58:5 BHN

5 Mfungapo, nyinyi mnajitaabisha;mnaviinamisha vichwa vyenu kama unyasi,na kulalia nguo za magunia na majivu.Je, huo ndio mnaouita mfungo?Je, hiyo ni siku inayokubaliwa nami?

Kusoma sura kamili Isaya 58

Mtazamo Isaya 58:5 katika mazingira