Isaya 58:6 BHN

6 “La! Mfungo ninaotaka mimi ni huu:Kuwafungulia waliofungwa bila haki,kuziondoa kamba za utumwa,kuwaachia huru wanaokandamizwa,na kuvunjilia mbali udhalimu wote!

Kusoma sura kamili Isaya 58

Mtazamo Isaya 58:6 katika mazingira