Isaya 58:7 BHN

7 Mfungo wa kweli ni kuwagawia wenye njaa chakula chako,kuwakaribisha nyumbani kwako maskini wasio na makao,kuwavalisha wasio na nguo,bila kusahau kuwasaidia jamaa zenu.

Kusoma sura kamili Isaya 58

Mtazamo Isaya 58:7 katika mazingira