Isaya 58:8 BHN

8 “Mkifanya hivyo mtangara kama pambazuko,mkiwa wagonjwa mtapona haraka.Matendo yenu mema yatawatangulia,nami nitawalindeni kutoka nyuma kwa utukufu wangu.

Kusoma sura kamili Isaya 58

Mtazamo Isaya 58:8 katika mazingira