9 Ndipo mtakapoomba,nami Mwenyezi-Mungu nitawaitikia;mtalia kwa sauti kuomba msaada,nami nitajibu, ‘Niko hapa!’“Kama mkiiondoa dhuluma kati yenu,mkiacha kudharau wengine na kusema maovu,
Kusoma sura kamili Isaya 58
Mtazamo Isaya 58:9 katika mazingira