Isaya 59:11 BHN

11 Twanguruma kama dubu,twaomboleza tena na tena kama hua.Twatazamia hukumu ya haki, lakini haipo,twatazamia wokovu, lakini uko mbali nasi.

Kusoma sura kamili Isaya 59

Mtazamo Isaya 59:11 katika mazingira