Isaya 59:10 BHN

10 Kama vipofu twapapasapapasa ukuta;tunasitasita kama watu wasio na macho.Tunajikwaa mchana kana kwamba ni usiku,miongoni mwa wenye nguvu sisi ni kama wafu.

Kusoma sura kamili Isaya 59

Mtazamo Isaya 59:10 katika mazingira