Isaya 59:9 BHN

9 Ndio maana haki iko mbali nasi,maongozi ya uadilifu hayapo kwetu.Tunatazamia kupata mwanga kumbe ni giza tupu,twatazamia mwangaza, lakini twatembea gizani.

Kusoma sura kamili Isaya 59

Mtazamo Isaya 59:9 katika mazingira