8 Njia ya amani hamwijui kamwe;njia zenu zote ni za dhuluma.Mmejifanyia njia potovu,yeyote anayepitia humo hapati amani.
Kusoma sura kamili Isaya 59
Mtazamo Isaya 59:8 katika mazingira