Isaya 59:7 BHN

7 Mko mbioni kutenda maovu,mnaharakisha kumwaga damu isiyo na hatia.Mawazo yenu ni mawazo ya uovu,popote mwendapo mnaacha ukiwa na uharibifu.

Kusoma sura kamili Isaya 59

Mtazamo Isaya 59:7 katika mazingira