Isaya 59:6 BHN

6 Utando wenu haufai kwa mavazi,watu hawawezi kujifunikia mnachofuma.Kazi zenu ni kazi za uovu,matendo yenu yote ni ukatili mtupu.

Kusoma sura kamili Isaya 59

Mtazamo Isaya 59:6 katika mazingira