Isaya 59:5 BHN

5 Mnaangua mayai ya joka lenye sumu,mnafuma utando wa buibui.Anayekula mayai yenu hufa,na yakipasuliwa nyoka hutokea.

Kusoma sura kamili Isaya 59

Mtazamo Isaya 59:5 katika mazingira