19 Toka magharibi hadi mashariki,kila mtu atamcha Mwenyezi-Munguna kutambua utukufu wake.Maana atakuja kama mto uendao kasi,mto unaosukumwa kwa upepo wa Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Isaya 59
Mtazamo Isaya 59:19 katika mazingira