Isaya 59:2 BHN

2 Dhambi zenu ndizo zinazowatenga na Mungu wenu,dhambi zenu zimemfanya ajifiche mbali nanyihata asiweze kuwasikieni.

Kusoma sura kamili Isaya 59

Mtazamo Isaya 59:2 katika mazingira