3 Maana mikono yenu imetiwa najisi kwa mauaji,na vidole vyenu kwa matendo maovu.Midomo yenu imesema uongo,na ndimi zenu husema uovu.
Kusoma sura kamili Isaya 59
Mtazamo Isaya 59:3 katika mazingira