Isaya 6:10 BHN

10 Kisha akaniambia,“Zipumbaze akili za watu hawa,masikio yao yasisikie,macho yao yasione;ili wasije wakaona kwa macho yao,wakasikia kwa masikio yao,wakaelewa kwa akili zao,na kunigeukia, nao wakaponywa.”

Kusoma sura kamili Isaya 6

Mtazamo Isaya 6:10 katika mazingira