Isaya 6:11 BHN

11 Mimi nikauliza,“Bwana, mpaka lini?”Naye akanijibu,“Mpaka hapo miji itakapobaki tupu bila wakazi,nyumba bila watu,na nchi itakapoharibiwa kabisa.

Kusoma sura kamili Isaya 6

Mtazamo Isaya 6:11 katika mazingira