7 Naye akinigusa nalo mdomoni, akasema: “Tazama, kaa hili limekugusa mdomo; umeondolewa hatia yako, umesamehewa dhambi yako.”
Kusoma sura kamili Isaya 6
Mtazamo Isaya 6:7 katika mazingira